Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maandalizi ya uchaguzi mkuu Uganda. Katika Dira ya Dunia TV

  • 27
Scroll Down To Discover

Tume ya uchaguzi nchini Uganda imeanza kusambaza vifaa vya kupigia kura kwa wilaya mbali mbali kuelekea uchaguzi mkuu wa wiki ijayo. Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye ameongoza Uganda kwa miongo minne anawania muhula wa saba madarakani. Mpinzani wake mkuu ni mwanamuziki Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Wagombea wengine ni Frank Bulira, Robert Kasibante, Joseph Mabirizi, Nandala Mafabi, Mugisha Muntu na Mubarak Munyagwa. #BBCSwahiliLeo #Museveni #BobiWine #Uganda #BBCSwahiliDiraYaDuniaTV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Nyota wa Ghana, Semenyo, Awa Mchezaji Aliyeuzwa Ghali zaidi Bournemouth
Next Post Fahamu Maisha Ya Manowari Ya Nyuklia Ya Marekani Na Silaha Nzito Inazobeba – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook