Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwanini Trump anataka kuichukua Greenland kwa nguvu? Katika Dira ya Dunia TV

  • 25
Scroll Down To Discover

Ikulu ya White House inasema Rais Trump na timu yake wanazingatia njia mbalimbali kama vile kutumia jeshi ili “kuichukua” Greenland kama “kipaumbele cha usalama wa taifa”. Greenland ni kisiwa kikubwa zaidi duniani na kina ukubwa wa mara sita zaidi ya Ujerumani. Msemaji wa Rais Trump, Karoline Leavitt, alisema kwamba Donald Trump anaamini kuwa kuipata Greenland ni muhimu ili kuwazuia wapinzani wa Marekani katika eneo la Aktiki, akiongeza kuwa “kutumia jeshi la Marekani ni chaguo lililo mikononi mwa Rais wa Marekani wakati wowote kama amiri jeshi mkuu”. #trump #greenland #bbcswahili #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Polisi Ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya raia, vifo vitatu vyachunguzwa
Next Post Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Yatangaza Ukaguzi Maalumu Nchini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook