Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu Awasili Zanzibar Kwa Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo

  • 44
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili Zanzibar leo, Januari 4, 2026, kwa ziara ya kikazi.

Katika ziara hiyo, Dkt. Mwigulu atashiriki kwenye uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra zinazoelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Miradi hiyo inalenga kuimarisha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo kwa wananchi.

The post Dkt. Mwigulu Awasili Zanzibar Kwa Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo appeared first on Global Publishers.



Prev Post Trump Atuhumu Serikali ya Colombia Kuhusishwa na Biashara ya Dawa za Kulevya
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 06, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook