Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali

  • 24
Scroll Down To Discover

Kipa Djigui Diarra na wenzake wa Timu ya Taifa ya Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 3–2 dhidi ya Tunisia, kwenye Uwanja wa Mohammed V, Casablanca hatua ya 16 bora.

Mchezo ulimalizika kwa sare ya 1–1 ndani ya dakika 120. Tunisia walitangulia kupata bao kupitia Chaouat dakika ya 88, kabla ya Sinayoko kuisawazishia Mali dakika ya 90+6.

Katika mikwaju ya penalti, Mali walionesha utulivu na kufanikiwa kutinga hatua inayofuata.

Matokeo ya Mwisho
Mali 1–1 Tunisia
(Penalti: Mali 3–2 Tunisia)

Waandishi wa mabao

  • Mali: Sinayoko 90+6’

  • Tunisia: Chaouat 88’

Mikwaju ya penalti

  • Mali: ❌ ✅ ❌ ✅ ✅

  • Tunisia: ✅ ❌ ✅ ❌ ❌

Kwa matokeo haya, Mali sasa watakutana na Senegal katika hatua ya robo fainali.

The post AFCON: Diarra Aang’ara, Mali Yaipiga Tunisia kwa Matuta 3–2 Yatinga Robo Fainali appeared first on Global Publishers.



Prev Post Polisi Wafunguka Ukweli wa Ajali ya Shilole Kigoma, Watoa Wito kwa Madereva
Next Post Video: ‘Wachawi Walinigeuza Fisi Nibebe Maiti – Nimeteseka Zaidi Ya Miaka 14’ – Mtumishi Mathayo Darema
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook