Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: PM Mwigulu Akagua Athari za Mvua Kidete, Atoa Hakikisho la Serikali

  • 31
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete, Kilosa mkoani Morogoro.

Akiwa eneo hilo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilishachukua hatua za kukabiliana na mvua kwa kuamua kujenga mabwawa katika eneo hilo.

The post Video: PM Mwigulu Akagua Athari za Mvua Kidete, Atoa Hakikisho la Serikali appeared first on Global Publishers.



Prev Post JANGWANI WATAMBULISHA SILAHA YAO MPYA
Next Post Historia Yaandikwa New York Meya wa Kwanza Mwislamu Aanza Kazi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook