Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay

  • 129
Scroll Down To Discover

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi), iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Osterbay Jijini Dar es Salaam. Tarehe 25 Desemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameungana na waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Noeli (Krismasi) lililofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro, Oysterbay, jijini Dar es Salaam, tarehe 25 Desemba 2025.

Makamu wa Rais alishiriki ibada hiyo pamoja na viongozi wa kanisa na waumini, kama ishara ya kuendelea kuimarisha umoja, upendo na amani katika kipindi cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

 

The post Makamu wa Rais Nchimbi Aadhimisha Krismasi Parokia ya Mt. Petro, Oysterbay appeared first on Global Publishers.



Prev Post RUSHINE, MABADILIKO BENCHI LA UFUNDI SI SAHIHI
Next Post Watano Wafariki Ajali ya Helikopta Juu ya Mlima Kilimanjaro
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook