Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Kuharakishwa kwa Mradi wa Bandari ya Ngongo Lindi

  • 40
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Mchemba leo Desemba 21, 2025 amekagua hali ya bandari ya Barazani mkoani Lindi na kuiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania kukamlisha kwa haraka michakato ya awali ya kitaalam ya ujenzi wa mradi wa Bandari ya Ngongo wilayani Lindi mkoani Lindi.

Amesema kukamilika kwa bandari ya Ngongo kutasaidia kuwaondolea adha watumiaji wa bandari inayotumika sasa ya Barazani ambayo hali yake haiendani na mahitaji ya sasa.

Dkt. Mwigulu ameongeza kuwa kukamilika kwa ujenzi wa bandari ya Ngongo kutaleta chachu ya maendeleo mkoani humo kwani bandari ya Lindi imeanza kuchangamkiwa na wafanyabiashara, wakiwemo wa nchi jirani.

 

The post Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Aagiza Kuharakishwa kwa Mradi wa Bandari ya Ngongo Lindi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Hatimaye Katavi Yametimia: Watalii Wa Ndani Na Nje Waanza Kumiminika
Next Post Waziri Simbachawene Awakilisha Waziri Mkuu Katika Ibada Karagwe
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook