Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wakaazi wa Dar es Salaam Tanzania walilia uhaba wa maji, katika Dira ya Dunia TV

  • 35
Scroll Down To Discover

Kwa muda sasa jiji la Dar es Salaam Tanzania limekumbwa na uhaba wa maji. Mifereji katika maeneo mengi imekauka kwa kile kinachotajwa kama uhaba wa mvua na kupungua kwa maji katika vyanzo vya maji kama mito na mabwawa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Je, Tanzania na Uganda zitafaulu AFCON 2025 huko Morocco? Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Dkt. Nchimbi Amwakilisha Rais Samia Mkutano Wa Dharura Entebbe, Uganda
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook