Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwa nini maandamano ya Disemba 9 nchini Tanzania yalifeli? Katika Dira ya Dunia TV

  • 57
Scroll Down To Discover

Katika siku ambayo baadhi ya watanzania walitarajia kushuhudia hatua ya kihistoria ya maandamano ya amani ya Desemba 9, hali ilikuwa tofauti kwa siku nzima. Hakukuwa na misafara ya waandamanaji, mabango, wala makundi makubwa ya watu kupaza sauti zao. Ilikuwa tofauti na maandamano ya Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata. Kwa nini? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post SELEMANI MWALIMU AONDOLEWA KIKOSINI
Next Post Trump Aendeleza Mvutano na Ilhan Omar, Atupa Madai Mapya Yenye Utata
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook