Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

  • 68
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi leo limepiga marufuku maandamano yaliyopangiwa kufanyika Disemba 9, ambayo ni Jumanne wiki ijayo. Aidha Jeshi hilo limetoa onyo kali kwa yeyote atakayejiunga nayo. Msemaji wa Jeshi hilo David Misime amesema kanuni za kisheria kuhusu maandamano hazijafuatwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post WATEJA WA ILIYOKUWA BENKI YA FBME WAANZA KUPOKEA ASILIMIA 30 YA FIDIA
Next Post Video: Chalamila Aitaka TANESCO Kuchunguza Kauli ya Padri Kitima
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook