Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Exim Inajivunia Kuwa Sehemu Ya Msimu Wa Nne Wa Korosho

  • 86
Scroll Down To Discover

Exim inajivunia kuwa sehemu ya msimu wa nne wa Korosho Marathon mkoani Mtwara, kama mdhamini mkuu wa mbio za Kilomita 5—ikiwa ni sehemu ya mchango wao endelevu katika kuunga mkono michezo, ustawi wa vijana na afya ya jamii.

Mgeni rasmi katika tukio hili alikuwa Waziri wa Vijana, Mheshimiwa Joeli Nanauka, ambaye alisisitiza umuhimu wa ushiriki wa sekta mbalimbali katika kukuza afya, umoja na maendeleo ya kijamii kupitia michezo.

Exim Bank itaendelea kushiriki na kuunga mkono miradi inayogusa jamii,Benki hiyo inaamini kuwa michezo ni jukwaa muhimu la kuhamasisha maendeleo chanya, kuimarisha mahusiano ya kijamii na kujenga taifa lenye afya bora.

The post Exim Inajivunia Kuwa Sehemu Ya Msimu Wa Nne Wa Korosho appeared first on Global Publishers.



Prev Post BAADA YA KUANZA NA VIPIGO CAF……IBENGE AVUNJA UKIMYA AZAM FC….MSIMAMO WAKE HUU HAPA..
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 01, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook