Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar, Wagombea wa Umeya na Uenyekiti Wateuliwa

  • 85
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar Novemba 29, 2025.

Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa CCM wa Umeya wa majiji, manispaa, na Wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya.

Katika hatua muhimu, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea wa CCM kwa nafasi za:

  • Umeya wa majiji

  • Umeja wa manispaa

  • Uenyekiti wa halmashauri za miji

  • Uenyekiti wa halmashauri za wilaya

The post Samia Aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar, Wagombea wa Umeya na Uenyekiti Wateuliwa appeared first on Global Publishers.



Prev Post Waziri Ulega Akutana na RC Makalla Kujadili Kasi ya Miradi ya Miundombinu Jijini Arusha
Next Post BAADA YA KUANZA NA VIPIGO CAF……IBENGE AVUNJA UKIMYA AZAM FC….MSIMAMO WAKE HUU HAPA..
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook