Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Serikali ya TZ yadai machafuko ya uchaguzi yalichochewa kutoka nje, katika Dira ya Dunia TV

  • 57
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo wakati wa uchaguzi mkuu, yalichochewa kutoka nje. Akiongea hii leo jijini Dar es Salaam, Nchemba amesema kuwa waliopanga machafuko hayo wana dhamira ya kupora rasilimali za taifa hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Waziri Bashiru Akutana na Wafugaji, Aahidi Mageuzi ya Sekta
Next Post Breaking News: Makanisa Ya Askofu Gwajima Kufunguliwa, Agizo La Mwigulu – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook