Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Marais Wastaafu Wa Zanzibar Wampongeza Rais Dk.Mwinyi Kwa Ushindi Na Kudumisha Amani

  • 8
Scroll Down To Discover

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Marais Wastaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein wa Awamu ya Saba na Amani Abeid Karume wa Awamu ya Sita, Ikulu Zanzibar tarehe 08 Novemba 2025.

Marais hao wastaafu wamemtembelea Rais Dkt. Mwinyi kwa lengo la kumpongeza kwa ushindi wa kishindo alioupata, pamoja na kupongeza hali ya amani na utulivu iliyoshuhudiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu.

KWA MARA ya KWANZA MAKAMU NCHIMBI AZUNGUMZIA VURUGU za UCHAGUZI – “NCHI YETU ni SALAMA”…



Prev Post Kimbunga Fung-wong: Watu 900,000 Wahamishwa Ufilipino Kabla ya Kimbunga Kikubwa Kutua
Next Post Zaidi ya Safari 1,400 za Ndege Zafutwa Marekani Kufuatia Kufungwa kwa Serikali
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook