Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

CCM Yatoa Fomu za Uteuzi wa Spika na Naibu Spika wa Bunge 2025

  • 34
Scroll Down To Discover

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwa Wanachama ambao ni Wabunge wateule na Wanachama wenye sifa za kuwa Mbunge, kuwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimeanza kutolewa leo Novemba 03 na kesho Novemba 04 Novemba, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Dodoma, Ofisi Ndogo Lumumba Dar es Salaam na Afisi Kuu Kisiwandui, Zanzibar.

Katika taarifa yake ya leo imesema, Fomu hizo zitarejeshwa kesho tarehe 04 Novemba saa 10:00 Jioni.

 

 



Prev Post Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Amshukuru Dkt. Mpango kwa Mchango Mkubwa Katika Awamu ya Sita
Next Post Chadema Yatoa Taarifa Kuhusu Makamu Mwenyekiti Wao, John Heche
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook