Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Uchaguzi Mkuu 2025: Polisi Watoa Onyo Kali ‘Atakayethubutu Kuvunja Sheria Asitulaumu’

  • 31
Scroll Down To Discover


Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ambapo wananchi wamehakikishiwa usalama na kwamba hakuna tishio lolote la kiusalama litakalozuia watu kupiga kura.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, amesema mtu yeyote atakayethubutu kuvunja sheria, asilaumu kwa hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake.



Prev Post Mgombea wa Urais Zanzibar, Othman Masoud, Afunga Kampeni Pemba
Next Post SIMBA vs NSINGIZINI…HAYA HAPA MAMBO MAWILI MAKUBWA…WANIGERIA KUSIMAMIA SHOW…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook