Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mgombea wa Urais Zanzibar, Othman Masoud, Afunga Kampeni Pemba

  • 28
Scroll Down To Discover

 

Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud.

Kampeni za mgombea wa Urais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud, Kisiwani Pemba zimefungwa zikihudhuriwa na wafuasi wengi na viongozi wa ndani ya Chama chake.

Akizungumza katika hafla hiyo, Othman Masoud alisisitiza:

“Vile tulivyofunga kampeni Kisiwani Pemba ni ishara ya mshikamano wetu. Ushirikiano wenu na hamasa yenu ni nguvu yetu. Tuwe pamoja katika kujenga Zanzibar yenye maendeleo na amani.”

Mgombea pia aliwashukuru wafuasi wake kwa ushirikiano, hamasa, na imani waliyoonyesha katika kipindi chote cha kampeni, na kuwaomba kuendeleza amani na mshikamano wa kijamii hadi siku ya uchaguzi.



Prev Post KWA BALAA LA HUYU MORICE HUKO SIMBA…KINA MPANZU, AHOUA, MAEMA WAJIPANGE AISEEE…
Next Post Uchaguzi Mkuu 2025: Polisi Watoa Onyo Kali ‘Atakayethubutu Kuvunja Sheria Asitulaumu’
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook