Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Museveni achukua hatua baada ya ajali kuua watu 46. Katika Dira ya Dunia TV

  • 40
Scroll Down To Discover

Polisi nchini Uganda wamethibitisha vifo vya watu 46 huku wengine wengi wakipokea matibabu kufuatia ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zilisema idadi hiyo huenda ikaongezeka. Rais Yoweri Museveni amewaomba wanaotumia barabara hasa madereva wa magari kuwa waangalifu ili kuzuia majanga kutokea. Leila Mohammed ana taarifa zaidi. #Museveni #Uganda #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Jukwaa la NGO Lapitisha Azimio Kulaani Matumizi ya Silaha za Kemikali Sudan
Next Post Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche Asafirishwa Kuelekea Tarime Baada ya Kukamatwa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook