Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Hatima ya kundi la Hamas ukanda wa Gaza. Katika Dira ya Dunia TV

  • 147
Scroll Down To Discover

Katika siku za hivi karibuni, wapiganaji wa Hamas hawakukabiliana na jeshi la Israel tu, bali pia na makundi mengine ndani ya Gaza. Ni dhahiri kuwa kundi hilo ambalo limetawala eneo hilo kwa miaka kumi na minane linaamini bado lina jukumu kubwa la kufanya. Waandishi wa habari wa BBC wamezuiwa kuripoti kutoka ndani ya Gaza. Lakini Paul Adams ameangazia je, uwepo wa Hamas unamaanisha nini katika mustakabali wa eneo hilo? #Hamas #Gaza #Israel #bbcswahili #bbcswahilileo #petermwangangi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Elimu ya Amani, Uzalendo na Mazingira Ifundishwe Shuleni: Mgeja
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 22, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook