Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Street University Yarejea kwa Kishindo Kikubwa Jijini Mwanza

  • 111
Scroll Down To Discover

Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa!
Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu kushiriki katika kongamano maalum litakalowasha moto wa fikra, ubunifu na uthubutu jijini Mwanza.

📅 Tarehe na Mahali

📍 Rock City Mall, Mwanza
🗓 Jumamosi, 18 Oktoba 2025
🕗 Kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana

 



Prev Post Dkt. Nchimbi Awasalimia Wananchi wa Mikumi Akielekea Kilombero
Next Post Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook