Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Breaking News: Carina Afariki Dunia Nchini India

  • 8
Scroll Down To Discover


Habari zilizotufilia hivi punde, zinaeleza kuwa mwanadada Carolina Hawa almaarufu Carina aliyekuwa akitibiwa nchini India, amefariki dunia.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Carina alitarajiwa kurejea Tanzania leo baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa kutibu tatizo la tumbo lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri Aizungumzia Hamas kivitani
Next Post Ufahamu Mchezo huu wa Kasino Unaolipa kuliko yote..
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook