Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Anafungua Mkutano Wa Toa Taifa

  • 24
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Leo Aprili 14, 2025 atafungua mkutano wa 15 wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) unaofanyika katika ukumbi wa Jiji, uliopo kwenye Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma

Mkutano huo unalenga kubadilishana uzoefu na kuwajengea uwezo wanachama wa TOA ili kuwawezesha kuleta mabadiliko chanya ya mwelekeo wa utendaji wa kila siku na kuchagiza maboresho katika Serikali za Mitaa.

Moja ya jukumu la TOA ni kuishauri Serikali katika masuala mbalimbali yanayohusu ustawi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Mkutano huo umehudhuriwa na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.



Prev Post Sloti yenye Thamani Zaidi Mafia Clash Kutoka Meridianbet Kasino
Next Post Mabalozi Kutoka Nchi Mbalimbali Wajivika Jukumu la Kutangaza Vivutio vya Tanzania
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook