
MAZISHI ya mama wa msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, yamefanyika leo, Aprili 14, 2025 katika Makaburi ya Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Wasanii mbalimbali wamejumuika kwenye shughuli ya kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele, mama wa msanii wa Muziki wa Singeli, Meja Kunta.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!