Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Meja Kunta Afiwa na mama yake mzazi, Kuzikwa Kesho Yombo Dovya

  • 14
Scroll Down To Discover

Msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, amepata pigo baada ya kuondokewa na mama yake mzazi, Mosi Mkalawile.

Global TV imefika nyumbani kwao, Mtaa wa Maputo, Temeke jijini Dar es Salaam ambako ndiko msiba ulipo.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho, April 14, 2025 katika Makaburi ya Yombo Dovya.



Prev Post Rais wa TLS, Mwabukusi Aipinga Tafsiri ya NEC Kuhusu Maadili ya Uchaguzi
Next Post Rais Samia Aomboleza Kifo cha Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook