Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kifo Cha Majembe Chazua Taharuki, Familia Yakataa Mazishi – Video

  • 28
Scroll Down To Discover


Familia ya kijana Raphael Majembe ya Tabata Shule jijini Dar es Salaam, imegoma kuchukua mwili wa kijana wao mochwari kwa ajili ya kwenda kuuzika wakidai wanataka uchunguzi wa kina ufanyike kwani ndugu yao amefariki dunia akiwa kwenye mikono ya Jeshi la Polisi.

Mmoja kati ya wanafamilia ameeleza namna walivyofuatwa na Jeshi la Polisi lakini mtuhumiwa walimkosa lakini walimbeba yeye.



Prev Post Chadema Yapinga Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Mnyika Afunguka!
Next Post Wakandarasi 457 Wa Ujenzi Wa Barabara Walipwa, Wengine 322 Kulipwa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook