Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Ashiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo

  • 7
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo Alhamisi Aprili 10, 2025.

Wabunge mbalimbali wameendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa Mwaka 2025-2026, baada ya kuwasilishwa na Waziri Mkuu Bungeni jana Machi 9, 2025.



Prev Post Mbunge Madaba Aongoza Msafara Wa Tanzania Katika Mkutano Wa 150 Wa Mabunge Duniani Uzbekistan
Next Post Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook