Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Je, mashambulizi ya Israel huko Gaza yako karibu kuisha? Katika Dira ya Dunia TV

  • 9
Scroll Down To Discover

Hamas imekabidhi orodha ya majina ya mateka na wafungwa wa Kipalestina ili kubadilishana na mateka wa Israel waliopo Gaza, na imesema ina matumaini juu ya mazungumzo ya kumaliza vita huko Gaza. Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanalenga kuweka njia za kusitisha mzozo huo, kuondolewa kwa vikosi vya Israelikutoka Gaza na makubaliano ya kubadilishana wafungwa na mateka. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Waziri Mkuu Majaliwa Kuzindua Wiki Ya Vijana Mkoani Mbeya
Next Post Afisa Mkuu wa Japan Hukumiwa Kifungo kwa Kutazama Picha za Unyanyasaji wa Watoto
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook