Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Diamond Athibitisha Kununua Gari Jipya ‘Bugatti’.

  • 42
Scroll Down To Discover

Nyota wa muziki barani Afrika 🦁 @diamomdplatnumz, Amethibitisha kuwa amenunua gari jipya la kifahari aina ya Bugatti. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (IG Story) Ameandika: “I’m tired of this Rolls Royce, can’t wait for my Bugatti to arrive home.”

Maneno Hayo Yametafsiriwa kama uthibitisho wa moja kwa moja kuwa Diamond Ameongeza Gari Hilo La Thamani katika orodha yake ya magari ya kifahari, akijiunga na wasanii wachache wa Afrika waliowahi kumiliki gari hilo la Thamani Zaidi.

Hivyo Ujio wa Bugatti hiyo Ni ishara nyingine ya mafanikio makubwa Ya Mwanamuziki Huyu katika tasnia ya muziki na biashara

The post Diamond Athibitisha Kununua Gari Jipya ‘Bugatti’. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Viwanja Vya Thamani Zaidi Kuwahi Kujengwa Duniani.
Next Post Tristan, Justus & Diedo Star Watoa Ngoma Mpya Iitwayo ‘Inawauma’ – Wawa Tishio Uganda, Watarajiwa Kuwa Mastaa Wakubwa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook