Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt.Mwinyi amteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

  • 143
Scroll Down To Discover

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi.

Kabla ya uteuzi huu, Prof. Abdi alikuwa Profesa Mshiriki katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).Kwa mujibu wa taarifa rasmi, uteuzi huu umeanza rasmi Oktoba 3, 2025.



Prev Post Kwa nini Gen Z wa Madagascar bado wanaandamana? Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook