Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kwa nini Gen Z wa Madagascar bado wanaandamana? Katika Dira ya Dunia TV

  • 128
Scroll Down To Discover

Maelfu ya raia wa Madagascar wamekuwa wakiandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kwa zaidi ya wiki moja sasa, katika kile kinachoelezwa kuwa wimbi kubwa zaidi la maandamano kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa zaidi ya miaka 15. Kilichoanza kama malalamiko dhidi ya upungufu wa bidhaa za msingi kimekua kwa kasi na kuwa changamoto kubwa kwa Rais Andry Rajoelina, ambaye yuko madarakani kwa mara ya pili tangu mwaka 2018. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Dkt. Samia: Tunaboresha Usafiri wa Anga Kuongeza Fursa za Utalii Arusha
Next Post Rais Dkt.Mwinyi amteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook