
hapa anaadika kigogo 200014
Kwa wasiomjua @chief_godlove , File langu likikamilika zaidi nitaeleza hapa. Sasa ipo hivi kulingana na tafiti zangu mpaka sasa.
Kwanza kabisa wanaosali kwa kanisa la huyu jamaa wengi wao ni wamama na wazee walio vizuri kiuchumi. Vijana ni wachache sana
Ibada zote huwa zinafanyika tarehe 20 tu kila mwezi
Wakati wa ibada wanavaa mavazi meupe na meusi tuu
Hii dini inaleta Question mark, kwa nn kuwe na masharti ya namna hii?
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!