Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Manara adai Yanga kufungua kesi CAS kisa Simba

  • 9
Scroll Down To Discover

Manara anasema kuwa Inaonyesha KAMATI iliiogopa Simba, walikuwa na ajenda gani kukaa kikao kabla??

@hajismanara anaongeza kuwa Yanga wapo Tayari kufungua Kesi Mahakama ya Mpira ya Kimataifa ya CAS na Ataendesha zoezi la Mashabiki wa Yanga kuchanga pesa.

Manara anapigilia mstari wa nchi 6 kuwa HAKUNA MECHI tena ya SIMBA na YANGA kurudiwa.

Video nzima ipo Katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Credit by Abbrah255 & @el_mando_tz



Prev Post Haji Manara athibitisha kufungua kesi yeke dhidi ya Maimatha
Next Post Karia ana kiburi cha Madaraka – Manara
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook