Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RECAP: Lavalava & D Voice ni Biashara zilizofeli WCB?? – El Mando

  • 7
Scroll Down To Discover

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amejibu na kufafanua wale wanaosema D Voice na Lavalava ni biashara zilizofeli pale WCB.

Haya yamekuja baada ya Diamond kutangaza kusaini msanii mpya katika lebo yake ya WCB na baadhi ya mashabiki kuanza kusema kuwa:-

Diamond ameamua kusaini msanii haraka baada ya Biashara ya D Voice kufeli katika lebo yake ya WCB, wengine wameenda mbali na kusema pia Lavalava.

Kwa upande wake @el_mando_tz amefafanua na kusema kkuna asilimia kadhaa wapo sahihi na zingine hawapo sahihi.

Amefafanu kwanini mashabiki wanahisi vile.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

Cameraman & Editor @samirkakaa



Prev Post RECAP: Diamond apewe heshima yake kupitia Lebo yake – El Mando
Next Post RECAP: S2kizzy bado hajafikia Level za P Funk Majani – El Mando
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook