Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RECAP: Diamond ameitikisa Ghana kuliko Davido – El Mando

  • 7
Scroll Down To Discover

 

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Tukio la Birthday la Richard Nii Quaye kutoka Ghana ambaye aliwaalika mastaa mbalimbali.

Anasema tukio hilo wasanii wawili tu ndio wamelofanya lika-Trend Afrika mzima na wasanii hao ni Diamond na Davido.

Lakini ukija kwenye wasanii waliokuwa kivutio zaidi Diamond alikuwa kivutio zaidi kuliko hata Davido na hata ukiona video nyingi yule Tajiri alikuwa karibu zaidi na Diamond.

Anasema Diamond kwa sasa ndio msanii pekee Afrika Mashariki aliyopo Active Kimataifa, siku aseme anaachana na muziki Tanzania tutabali weupe sana Kimataifa.

Hakuna hata msanii mmoja anayeinyesha Juhudi za Kwenda Kimataifa labda Rayvanny kidogo na bado anapambana.

Wasanii wengine wamelala sana inaonyesha wameridhika na hawataki mambo ya kufanya muziki wenye ushindani Kimataifa.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa



Prev Post RECAP: Alikiba aonyesha ukubwa wake Samia Cup – El Mando
Next Post Bilionea anayempeleka Diamond Ghana, Ndege ya Diamond ina jina lake (Video)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook