Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nafasi ya Kuwa Bingwa Ipo Meridianbet Leo

  • 39
Scroll Down To Discover

Kuwa bingwa ni rahisi sana ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Arsenal, Villa, Fenerbahce na wengine kibao wapo kibao kuhakikisha hubaki patupu. Unangoja nini sasa kubashiri na mabingwa?

Anza kusuka jamvi lako hapa ambapo Feyenoord Rotterdan ataumana vikali dhidi ya Fenerbahce Instanbulya kule Uturuki. Mwenyeji yeye anakipiga kule Uholanzi huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kuondoka na ushindi mnono kabisa akiwa nyumbani kwa ODDS 2.37 kwa 2.90. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwa timu hizi mbili?. Bashiri hapa.

Na hapo baadae OGC Nice watawakaribisha kwao SL Benfica ya kule Ureno. Nice yupo kule Ligi kuu ya Ufaransa huku leo hii anahitaji ushindi kwenye mechi ya mkondo wa kwanza ya kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya. Nani ni nani siku ya leo?. Mechi hii imepewa ODDS 2.95 kwa 2.30.

PFC Ludogorets watakuwa wenyeji wa Ferencvarosi Budapest ambao hawajapewa nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 2.75 kwa 2.65. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoa sare ya kufungana bao 1-1. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza?. Suka jamvi lako sasa.

Leo hii pesa ipo kubwa sana ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Wakati Kairaty Almaty atakuwa kibaruani kukiwasha dhidi ya Slovan Bratslava kwenye mkondo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa Ulaya. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa 2.30 kwa 3.25 huku mechi hii pia ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 sasa. Ingia Meridianbet na ubashiri sasa.

Mtanange mwingine ni huu FC Salzburg vs Club brugge ya kule Ubelgiji. Mwenyeji anakipiga katika ligi kuu ya Austria. Kila timu inahitaji ushindi mnono siku hii ya leo, huku wewe ukiwa na nafasi kubwa ya kutengeneza jamvi lako la ushindi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.70 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Vilevile unaweza ukabashiri mechi za kirafiki siku ya leo ambapo Lille atapimana nguvu dhidi ya Venezia ya kule Italia. Msimu unakaribia kuanza hivyo timu nyingi zipo zinajiandaa kwa kucheza mechi nyingi za kirafiki. Lille kushinda mechi hii ana ODDS 1.60 kwa 4.80. Jisajili hapa.

Huku Arsenal wao leo hii watapepetana dhidi ya Villarreal ya kule Hispania. Vijana wa Arteta wamefanya usajili mkubwa msimu huu na wanataka makombe makubwa hivyo ushindi kwao ni muhimu sana ili kujua wapi bado hapajakamilika. Bashiri mechi hii kwa ODDS 1.43 kwa 6.00.

Kutoka kule Italia  AS Roma atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Aston Villa ya Uingereza ambao wanajiweka vizuri pia kwaajili ya msimu mpya. Roma leo hii kushinda mtanange huu wana ODDS 3.00 kwa 2.04. Je nafasi ya ushindi wewe unampa nani leo?. Suka jamvi hapa.

 

 



Prev Post Je, ni Mpina au Kalikawe atapambana na Rais Samia nchini Tanzania? Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Shindano Jipya la Kasino, Ingia Ulimwenguni Wa Zombie Apocalypse
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook