Nchini Tanzania, chama cha upinzani cha ACT - Wazalendo kiko katika mchakato wa kumchagua atakayemenyana na Rais Samia Suluhu kuwania Urais katika uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu. Mafahali wanaowania tiketi hii ni wawili Luhaga Mpina na Aaaron Kalikawe. Kwa sasa kura zinaendelea kupigwa huku mshindi akitarajiwa kutangazwa baadaye usiku huu.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!