Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Afungua Kongamano La Nne La Kitaifa La Ufuatiliaji Na Tathmini

  • 1
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Septemba 11, 2025 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la Nne la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza linalofanyika katika ukumbi wa hotel ya Malaika Beach jijini Mwanza.

Washiriki wa kongamano hilo ni wadau wa maendeleo, wakurugenzi wa halmashauri, wataalam kutoka nje na ndani ya Serikali pamoja na viongozi kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.

kaulimbiu ya Kongamano ni “Kuimarisha uwezo wa Ufuatiliaji na Tathmini kwa Jamii ili kuwezesha utendaji bora na maendeleo endelevu”.

 



Prev Post Makamu wa Rais Riek Machar Ashtakiwa kwa Ugaidi na Uhaini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook