
NAFASI Za Kazi TCB Bank PLC
NAFASI Za Kazi TCB Bank PLC
Tanzania Commercial Bank zamani TPB Bank Plc ni benki ya biashara nchini Tanzania.
Tanzania Commercial Bank ni benki inayotoa huduma za kifedha za kiushindani kwa wateja na kujenga thamani kwa wadau kupitia bidhaa za kibunifu zenye maono ya “kuwa benki inayoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa huduma za kifedha kwa bei nafuu, zinazofikika.
Benki hiyo inatafuta watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!