Shirika la Msalaba Mwekundu linasema maelfu ya Wapalestina wanakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na kwamba kusitishwa kwa dhulma hizo ni suala "la lazima na la haraka”. Shirika hilo limesema litarejea katika mji wa Gaza” wakati hali itakapoimarika kuruhusu oparesheni zake kuendelea.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!