Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mke wa Rais wa Zamani Korea Kusini Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa na Udanganyifu

  • 3
Scroll Down To Discover

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Keon-Hee, amekamatwa Jumanne, Agosti 12, 2025, akikabiliwa na tuhuma za rushwa, udanganyifu wa hisa, na kuingilia mchakato wa uteuzi wa wagombea wa kisiasa.

Mamlaka zimesema kukamatwa kwake kuliidhinishwa kutokana na hofu kwamba angeweza kuharibu ushahidi. Hatua hiyo inakuja baada ya uchunguzi wa muda mrefu kuhusu mikataba na shughuli za kifedha zilizotekelezwa wakati wa utawala wa mume wake, Rais wa zamani Yoon Suk-Yeol.

KESI ya LISSU WAKILI WAKE AFUNGUKA NINI KIMETOKEA 



Prev Post Rais Mwinyi Ateua Wakurugenzi Wapya Serikalini
Next Post Watu 25 Wafukiwa na Kifusi Shughuli za Ukarabati Mgodi Shinyanga – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook