Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mshambuliaji Habib Kyombo Ajiunga na Mbeya City

  • 45
Scroll Down To Discover

Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Habib Kyombo, amejiunga rasmi na Mbeya City kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake na Singida Black Stars.

Kyombo, mwenye umri wa miaka 24, raia wa Tanzania, amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka katika kikosi hicho cha Ligi Kuu Bara hadi Juni 2027.

Usajili wa Kyombo unatarajiwa kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Mbeya City kuelekea msimu mpya wa 2025/26.

 



Prev Post Taharuki! Mgombea Udiwani CCM Apotea Mara, Gari Lake Laokotwa Nzega – Video
Next Post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 8, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook