Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dogo Janja Aongoza Kura za Maoni CCM Ngarenaro – Awashinda Wakongwe

  • 28
Scroll Down To Discover

Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja, aibuka kidedea kwenye kura za maoni CCM Kata ya Ngarenaro, akimshinda aliyekuwa diwani Isaya Doita kwa tofauti ya kura 16.

🗳 Wapiga kura walioshiriki: 139

✅ Kura halali: 138

❌ Kura isiyoonekana: 1

📊 Matokeo:

Dogo Janja – 76

Isaya Doita – 60

Benjamin Mboyo – 2

Msimamizi: Sophia Islam
Mwandishi: Janeth Mushi



Prev Post Mahakama Yatoa Ulinzi Maalum kwa Mashahidi Kesi ya Lissu
Next Post Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook