Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!

  • 41
Scroll Down To Discover

Mpaka sasa, Daniel Chongolo anaonekana kuongoza kwa kishindo kikubwa katika kata 10 kati ya 12 zilizohesabiwa, akimpita mbali Deo Sanga (Jahpipo) kwa idadi ya kura katika kila kata.

Muhtasari wa Matokeo (kata 10 zilizohesabiwa):

Kata Chongolo Jahpipo Tofauti ya Kura
Kivavi 985 35 +950
Majengo 289 13 +276
Kitisi 376 68 +308
Utengule 605 45 +560
Makambako 574 26 +548
Mwembetogwa 175 16 +159
Mjimwema 318 26 +292
Laymkena 319 19 +300
Mahongole 761 74 +687
Mlowa 731 13 +718



Prev Post Dogo Janja Aongoza Kura za Maoni CCM Ngarenaro – Awashinda Wakongwe
Next Post Christmas Hii Yaja na Ushindi Meridianbet
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook