Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

ONDOKA NA SAMSUNG A25 KWA KUSHIRIKI AVIATOR…

  • 48
Scroll Down To Discover

Kama unapenda michezo ya kasino mtandaoni au unataka kuijaribu kwa mara ya kwanza, huu hapa ni mchongo wa mwezi: kuwa rubani wa maisha yako kupitia mchezo wa Aviator kutoka Meridianbet.

Kuanzia Julai 1 hadi mwisho wa mwezi, Meridianbet wana promosheni kabambe kwa wachezaji wa Aviator. Wachezaji 8 wenye bahati watashinda simu kali ya Samsung A25, simu mbili kila Jumatatu. Mara tu Jumatatu inapotua, na ushindi unaweza kuwa wako.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Aviator ni rahisi sana kucheza, unarusha ndege, odds zinaongezeka huku pesa ikizidi kuingia, na kazi yako ni kutoa pesa kabla haijadondoka. Ni burudani safi isiyo na kifani, na unaweza kucheza kwa dau lolote utakalo.

Ushindi unahitaji umakini tu. Ukikusanya odds vizuri na kutoa pesa kwa muda sahihi, ushindi ni wako. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuburudika na kushinda kwa wakati mmoja kupitia Meridianbet kasino mtandaoni.

Ili kuingia kwenye droo ya ushindi wa Samsung A25, jisajili sasa kupitia tovuti au app ya Meridianbet. Cheza mara nyingi, ongeza nafasi zako za ushindi, na unaweza kuondoka na si tu simu ya kisasa bali pia kitita kikubwa cha pesa kulingana na dau lako.

The post ONDOKA NA SAMSUNG A25 KWA KUSHIRIKI AVIATOR… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MERIDIANBET WAJA NA SUPER HELI, USHINDE SAMSUNG A25 BILA KUTOA JASHO…
Next Post NDANI YA DAKIKA CHACHE UNAPATA MILIONI MKONONI MWAKO…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook