Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Expanse Tournament, Jiunge, Cheza, na Shinda Zawadi Kubwa kutoka Meridianbet

  • 21
Scroll Down To Discover

Meridianbet, wakali wa michezo ya ubashiri nchini, wanakukaribisha kushiriki katika Shindano kubwa la Expanse, promosheni kabambe itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 22 Julai 2025 likiwa na ofa baba lao kwa washiriki.

Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidike na Expanse Tournament kwani Shindano hili linafanyika kwa wateja waliosajiliwa pekee kupitia tovuti au app ya Meridianbet huku likiwa na zawadi nono kwa washindi.

Ili kushiriki, unatakiwa kuwa na akaunti halali, umri wa miaka 18 au zaidi, na akikisha kwamba umecheza michezo iliyojumuishwa katika promosheni hii. Michezo hiyo ni kama vile, Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale, na Zombie Apocalipse.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kila mmoja anayo nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwenye michezo hii kwani ushindi katika mashindano utategemea idadi ya spins pamoja na uwiano wa ushindi dhidi ya dau (Win/Bet ratio) huku dau la chini kwa kila spin likiwa ni TZS 1,000. Yani TZS 1,000 inakuweka kwenye nafasi ya kuondoka na kitita cha pesa za kutosha.

Zawadi kwa washindi ni kama ifuatavyo:

Nafasi ya Kwanza: TZS 1,000,000 Taslimu.

Nafasi ya Pili: TZS 500,000 Taslimu.

Nafasi ya Tatu: TZS 250,000 Taslimu.

Nafasi ya Nne: TZS 250,000 Taslimu.

Nafasi ya Tano: TZS 100,000 Taslimu.

Nafasi ya 6–10: Mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium.

Nafasi ya 11–20: Mizunguko 50 ya bure kwenye Pia Premium.

Na kwa wale watakaopata zawadi za mizunguko ya bure basi mizunguko hiyo ya bure itakuwa na wagering requirement ya 60x, yaani kumaanisha kwamba faida yoyote itakayopatikana kutoka kwenye spins hizo italazimika kuchezwa tena mara 60 kabla ya kuweza kuhamishwa kwenda kwenye akaunti ya pesa taslimu.

Promosheni hii ni halali kwa mtumiaji mmoja kwa kila akaunti ya Meridianbet. Na wale watakaojisajili basi wahakikishe wamesoma vigezo na masharti vya mchezo huu kwani kujisajili na kushiriki, itathibitisha kwamba unakubali masharti yote ya promosheni. Na Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko yoyote kwa promosheni hii wakati wowote.

Usikose fursa hii ya kuwa bingwa. Jiunge leo, cheza michezo ya Expanse, na uwe mmoja wa washindi wa zawadi za pesa taslimu na spins za bure.

 



Prev Post Ni PSG au Real? Bashiri GG&3+, Ushinde Bonasi ya Hadi TZS 60,000!
Next Post Miaka 9 ya Maumivu! Said Mrisho Avunja Ukimya! Ali Kiba Alinisaidia Kodi – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook