Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumanne 17 June 2025

  • 30
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumanne 17 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 17 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 17 June 2025

Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na Guinea ikipinga uamuzi uliofanywa na kamati ya nidhamu ya Shirikisho hilo, Desemba mwaka jana wa kutoipa ushindi wa mezani timu ya taifa ya nchi hiyo dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika mechi ya raundi ya mwisho ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyochezwa Novemba 19, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Guinea ilikata rufaa ya kuhitaji kupewa pointi tatu za mezani katika mchezo huo ambao ilipoteza kwa bao 1-0, ikidai kuwa Taifa Stars ilimtumia kimakosa Ibrahim Ame.

Desemba, 2025, Kamati ya Nidhamu ya CAF ilitupilia mbali rufaa hiyo ya Guinea jambo lililofanya Shirikisho la soka la nchi hiyo kukata rufaa ya pili ikiendelea kudai ushindi wa mezani.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Juni 16, 2025 imeeleza kuwa rufaa hiyo ya pili ya Guinea imetupiliwa mbali na CAF hivyo ni uhakika Taifa Stars itashiriki Fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika Morocco kuanzia Disemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026.



Prev Post Miliki Simu Kali ya Samsung A25 kwa Kucheza Super Heli
Next Post OFA BAB KUBWA KWA WATEJA WAPYA MERIDIANBET…
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 16 June 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook