
MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025
MAGAZETI ya Leo Jumapili 15 June 2025
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema kuwa hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini.
Akizungumza wakati wa hafla ya kukagua miradi ya maendeleo katika uwanja wa ndege wa Msalato jijini Dodoma June 14,2024, Ulega amesema kuwa Rais Samia ameonesha mfano wa uongozi wenye hekima na usikivu kwa kutatua changamoto iliyokuwa ikiibua sintofahamu na hisia kali kwa mashabiki wa soka.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!