Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mahakama Yaahirisha Kesi ya Tundu Lissu Hadi Juni 16, 2025

  • 31
Scroll Down To Discover

DAR ES SALAAM — Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya jinai inayomkabili Tundu Lissu hadi Juni 16, 2025, na kuagiza aendelee kushikiliwa rumande. Uamuzi huo umetolewa leo baada ya shauri hilo kutajwa mahakamani, ambapo upande wa Jamhuri uliomba muda zaidi wa upelelezi kukamilika.

Lissu anakabiliwa na mashtaka mbalimbali, huku kesi hiyo ikifuatiliwa kwa karibu na umma kupitia matangazo ya moja kwa moja.



Prev Post BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…
Next Post Idadi ya waliofariki dunia Nigeria yafikia 200
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook