Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO…

  • 39
Scroll Down To Discover

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC, mechi inayoweza kuwa na taswira ya bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/2025.

Kauli hiyo ni baada ya kuondolewa Katika mchezo huo wa nusu fainali uliochezwa dhidi ya Singida Black Stars, Simba ilijikuta ikichapwa mabao 3-1, matokeo ambayo Fadlu amesema ni somo zito kwa kikosi chake.

“Ratiba imekuwa ngumu sana kwetu. Tumekuwa na mechi tatu ndani ya siku sita, huku tukisafiri mfululizo. Hali hiyo imesababisha wachezaji kuchoka, na hilo liliathiri sana kiwango chetu kwenye mechi ya jana,” amesem Fadlu.

Kocha huyo raia wa Afrika Kusini amesema licha ya uchovu, wachezaji wake walijitahidi kupambana na hata walikosa nafasi kadhaa za wazi, lakini makosa ya kimbinu yaliigharimu timu.

“Bao la pili tulilofungwa lilibadilisha kabisa upepo wa mchezo. Makosa madogo lakini ya gharama kubwa. Hili ni jambo tutakalolifanyia kazi.”

Kwa sasa, anasema, kikosi chake kitapata muda wa kupumua wakati wa mapumziko ya FIFA, hasa ikizingatiwa kuwa zaidi ya wachezaji saba wa Simba wameitwa kwenye timu zao za taifa.

“Mapumziko haya yatakuwa fursa muhimu kwetu. Tutatumia muda huo kurekebisha makosa, kurejesha nguvu na maandalizi ya mwisho kuelekea michezo mitatu ya mwisho, hususan mechi dhidi ya Yanga Juni 15.”

Derby ya Kariakoo si mechi ya kawaida ni fursa ya kuonyesha ubora, kujibu mashaka, na kuweka alama kuelekea taji la ligi. Ni mchezo unaobeba uzito wa historia, fahari, na hatma ya msim

The post KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO… appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post MRITHI WA AZIZI KI YANGA HUYU HAPA….MABOSI WAANZA KUFANIKISHA DILI MAPEMAAA….
Next Post MAGAZETI ya Leo Jumatano 04 May 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook