Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Apokea Tuzo Maalum Kutoka Bunge La Tanzania (Picha +Video)

  • 43
Scroll Down To Discover

Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Viwanja vya Bunge Dodoma, leo tarehe 31 Mei, 2025.

Tuzo hiyo inatolewa kwa kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kulitumikia Taifa na kuwaletea Wananchi Maendeleo.

Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Tuzo ya Bunge la Tazania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika leo tarehe 31 Mei, 2025 katika Viwanja vya Bunge.
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa hafla ya kutoa tuzo ya Bunge la Tazania kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

  



Prev Post Agenda ya kidigitali yashika kasi nchini kupitia Future Ready Summit na Innovation Week 2025
Next Post Watu Waliofariki Kwa Mafuriko Nigeria Wafikia 115
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook